

BF SUMA PID (Pelvic Inflamatory Disease) PACKAGE
TZS 123,500
FEMICARE na Refined Yunzhi TIBA YA P.I.D, FANGASI, U.T.I sugu, mirija ya uzazi kuziba.
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases (P.I.D) ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.
1β£ P.I.D HUSABABISHWA NA NINI?
Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na P.I.D, vimelea vya jamii ya ‘Neisseria Gonorrhoeae’ pamoja na ‘Chlamydia trachomatis’ ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha P.I.D
3β£ DALILI ZA P.I.D NI ZIPI?
π Maumivu makali ya nyonga, tumbo au chini ya kitovu.
π Kutoka majimaji yasiyo ya kawaida yenye harufu mbaya
π Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
π Kupata maumivu ya mgongo.
π Mwanamke kutokwa na uchafu sehemu za siri wa rangi ya (cream) maziwa mtindi, kijani au mweupe unaoambatana na harufu kali.
π Maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara, kukojoa kwa shida.
π Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.
π Maumivu makali chini ya kitovu, kuhisi kichefuchefu, kutapika, homa kali kupita kiasi.
MADHARA YA P.I.D NI YAPI?
π Kupata ugumba na kupata utasa
π Kukosa kujiamini mbele za watu
π Mimba kutoka
π Kuharibu mfumo wa uzazi
π Kuvurugika kwa homoni na kupelekea hedhi isiyo na mpangilio
π Kutokufurahia tendo la ndoa
π Kati ya wanawake 10 wenye P.I.D, mmoja anakuwa mgumba kwa sababu P.I.D hupelekea makovu kwenye mirija ya uzazi
Vendor Information
- Store Name: Bf Suma
- Vendor: Bf Suma
- No ratings found yet!
Product Enquiry
Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Reviews
There are no reviews yet.