Fastum Gel is a pain-relieving medicine. It is used to relieve the pain of soft tissue injuries, and acute strains and sprains. It is also used to treat inflammation and other painful conditions of the bone or muscle.
Fastum Gel ni dawa inayotumika kupunguza maumivu. Hutumika kupunguza maumivu yanayosababishwa na majeraha ya tishu laini, na misuli au mifupa iliyopata mshtuko. Pia hutumika kutibu kuvimba na hali zingine zenye maumivu za mifupa au misuli.
Reviews
There are no reviews yet.